Tunafahamu kutoka Uongozi wa Kiroho kwamba Kupanda ‟Ascension” haitakuwa tukio la janga lakini litakua na mchakato taratibu na wa upole. Kadiri watu zaidi na zaidi wanavyoanzishwa Nguvu za Mwanga na Sauti itaanza kuwa na athari nzuri itaongezaka kwenye Sayari hii pamoja na wakazi wake. Mchakato huu tayari umeanza na kuna dalili nyingi zinazoonyesha hili. Tayari tumetaja kwamba watu wengi… Read more →
Msukumo
Kujitambua Mweyewe na Kumtambua Mungu
Kujitambua Binafsi na Kumtambua Mungu ni tofauti kabisa. Kuna fafanuzi nyingi zinazopatikana kwenye maandishi ya kiroho, mengi ambayo yana utata na hata kuwa kinyume. Kwa sababu hiyo sisi tuliona tunapaswa kujaribu kuweka wazi maana ya maneno haya. Kujitambua Mwenyewe Hii hutokea wakati tunapopata uzoefu wa upanuzi wa Ufahamu ambao tunatambua ya kwamba kila kitu tunachofahamu ni nafsi zetu. Tunahusiana… Read more →
Sababu ya Kuwepo kwako
Tumeandika juu kwenye Tovuti ya Nyumbani, ‟Fanya Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho “Enlightenment” kuwa Lengo lako: ndio Sababu ya Kuwepo kwako.” Tunahisi taarifa hii inastahili ufafanuzi. Kufikia Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho ni wazi kuwa ni tukio la nadra na kwa hivyo inapendekeza kuwa idadi kubwa ya watu hushindwa kutimiza sababu ya wao kuwa kwenye mwili. Watu wengi hawaonyeshi… Read more →
Walimu ambao ni ‟Enlightened”
Tunafuraha kutangaza kwamba idadi ya Walimu ambao wana Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho ‟Enlightened” inakaribia mia mbili. Uongozi wa Kiroho walitabiri kuwa Kundi letu linapaswa kufikia 75,000 katika kipindi cha miaka michache ijayo. Ili kuwachukua watu hawa pamoja kwenye Njia ya Kiroho kwa muda mfupi hivi Wao wametupatia idadi kubwa ya Walimu na Watahajudi ambao wanaweza kupitisha Cheche za… Read more →
Nini Kinafuatia Baadaye!
Ni jambo la kawaida kuuliza maswali kama vile: Nitapata faida gani kwa Kutahajudi, Nitaona nini, Nitasikia nini. Hatutaki kuwapa dhana nyingi sana na mawazo kabla ya Kuanzishiwa. Tunataka wewe ugundue mambo mwenyewe. Pia tunatambua kuwa kila Mtahajudi ni tofauti na yeye binafsi atagundua kile alicho na haja ya kugundua. Ni kama kozi ambayo imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya mwanafunzi… Read more →
Kasi ya Maendeleo
Kwa vile kuna Njia nyingi za kiroho zilizopo kwa Mtafutaji hasa, kuchagua mojawapo itakayoongoza kwenye Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho wa Kweli inaweza kuwa kazi ngumu. Hii haisaidiwi hasa kwa ajili ya upungufu ya muda na eneo la Kijiografia. Kwa hiyo inabidi kuwa waangalifu, kubagua na ujasiri. Ni muhimu kwamba tunasoma, kwa makini, maandiko ya Njia na kuuliza maswali… Read more →
Watahajudi Maalum
Tunaambiwa na Uongozi wa Kiroho kwamba Nishati mpya ya ‟WimbiMwanga” (Lightwave) imeletwa na imeachiliwa kwenye Sayari yetu. Madhumuni yake ni kuruhusu idadi kubwa ya watu duniani kote wapate Kuanzishwa kwenye Mwanga na Sauti, baadhi yao watakuwa ‟Enlightened”. Hata hivyo kuna, sababu nyingine, ambayo inahusu kufikia kundi kubwa la Watahajudi 75,000 ambalo litakuwa na uwezo wa kubadilisha Ufahamu wa Sayari.… Read more →
75,000
Sisi tulitaja kwenye ukurasa wa nyumbani idadi ya ‟Initiations” ambazo zilitarajiwa kwa miaka 3. Idadi ya 75,000 iliwasilishwa kwetu na Uongozi wa Kiroho. Tumekuwa tukijadili jinsi ambavyo kuleta ‟Spirituality” kwenye Sayari yenu kwa kutumia ”Initiations” nyingi inaweza kuongeza Ufahamu kwa ujumla, wa wakazi. Hii basi husababisha ufahamu zaidi wa Sayari kwa ujumla, Upendo zaidi na Amani, na migogoro kupungua.… Read more →
Kwa nini tutafute ‟Initiation”
Ili kuijibu swali, “Tafadhali mnaweza kuzungumza nasi kuhusu kwa nini mtu anapaswa kutafuta ‟Initiation” na kufuata Njia ya kiroho, na jinsi gani inamsaidia mtu wakati wa kifo?” Mtu anapopata ‟Initiation”, mara moja inatengeneza uwekano wa kiungo kwenye Ngazi za Juu. Kuendeleza kiungo hicho, ili kupata nguvu zaidi na zaidi, itategemea ni kiasi gani mtu anafanya kazi na Nishati za… Read more →
Kutahajudi kwenye Mwanga na Sound
Nishati za Mwanga na sauti zimetajwa kwenye vitabu vingi visivyo na idadi na huongelewa na makundi mengi yanayotahajudi. Hata hivyo, kuna aina nyingi za nguvu hizi ambazo ziko kwenye makundi 3 makubwa: kimwili, kufikiri na Kiroho. Tunataka kuweka wazi kabisa kuwa Nishati tunazozisema hazina uhusiano na ngazi za chini ambazo ni matokeo ya hisia za kimwili na akili zetu.… Read more →