Monthly Archives: May 2015

Chanzo Cha Maarifa Yote

  Yanatoka wapi mawazo mapya, ugunduzi na uvumbuzi? Watu wengi wengedai kwamba yametoka kwenye akili zao wenyewe na walipata uvuvio na kuongozwa na baadhi ya tukio, uchunguzi au hata ndoto. Je, tunawazaje kueleza kuhusu watoto maalum wenye akili na uwezo wa kuandika ‟symphonies” au kuzungumza lugha nyingi au wenye uwezo mkubwa wa hisabati? Wengi wangedai na kupendekeza watoto hawa maalum… Read more →

Ushuhuda (D.H.)

  Tahajudi ya mwanga na sauti ni njia ya kale ya kutahajudi ambayo inafunua na inaonyesha njia ya kiroho kutoka ufunuo wa lotus ya petal elfu moja hadi Enlightenment. Kuona lotus ya petal elfu moja kwenye Initiation yangu ya kwanza nilipokuwa na umri wa miaka 20 mnamo mwezi Februari mwaka 1987 ilikuwa ni uzoefu wa ajabu wa Kiroho ambao ulinionyesha… Read more →

Kutahajudi Kwenye Mwanga

  Kila ‟Initiate” ana safari yake mwenyewe. Kama Mtafutaji hawezi kufikia mwanga, basi wanapaswa kuangalia mioyo yao na kushangaa ni kwa nini: – 1) Nina uchoyo na tamaa sana ya mwanga na si ruhusu kila kitu kutokea katika muda wake? 2) Je, Najisikia sifai? 3) Wakati ninapokaa kutahajudi, Je niko wazi kwa ajili ya chochote kinachotokea? 4) Je, kuna kitu… Read more →

Ukweli Kuhusu ‟Enlightenment”

  Mara nyingi ikijulikana kama hali ya kudumu ya kuwa. Kutoka Uongozi wa Kiroho Hali ya kudumu ambayo mnaisema haiwezi kuwa ya kudumu, katika mwili wa kimwili. Unaweza kuwa na ‟realizations” pamoja na hali za ufahamu lakini hivyo ndivyo zilivyo, sio hali za kuwa. Kwa mfano, unaweza kushuhudia hali ya “kutokufikiri” kwenye kina cha tahajudi, lakini wewe ni shahidi, sio… Read more →

Kwa nini Nguvu inakuja katika mawimbi na mizunguko?

  Jibu kutoka Uongozi wa Kiroho: Mawimbi ni sehemu ya utaratibu wa maisha na nguvu zote zinaweza kuchukuliwa kuwa na wimbi kwa asili. Mawimbi pia yanakuja kutoka ngazi za juu, wakati dunia iko tayari, kuleta mabadiliko ya mageuzi. Hizi ni pamoja na “cheche” ambazo husababisha uvumbuzi mpya na teknolojia pamoja na mawazo mapya ambayo binadamu wanapewa wakati wamebadilika kwa kiwango… Read more →