Monthly Archives: September 2016

Ushuhuda (M.T.)

  ‟Initiation” yangu ilikuwa mnamo tarehe 10 Septemba, 2016. Kabla ya kutahajudi kwenye Mwanga na Sauti nilikuwa na muda wa kutosha bila kutahajudi hivyo mwanzoni ilikuwa kidogo vigumu kwangu kuwa makini na kutulia. Lakini wakati huo ambapo mimi nilikuwa naenda kutambulishwa na kuanzishwa kwenye Mwanga, hatimaye niliona kwamba naweza kutulia kwa makini na ku‟concentrate” kwa msaada wa kurudia Mantra yangu.… Read more →

Ushuhuda (l.K.)

  Nikifikiria juu ya maisha yangu …..Nilianza kuwa na wito wa ndani nikiwa na umri wa miaka 7, wakati, nilipojikuta najiangalia kwenye kioo, swali likanijia kwa nguvu MIMI NI NANI? na kusababisha woga kwangu. Na hapo mara moja nikakimbia toka kwenye kioo!   Kama mtoto Nilihisi ile hofu ya fumbo, hata hivyo sikuweza kujiamini na kumuuliza mtu yeyote maana ya… Read more →