Wakati mtu anapoanzishwa kuna wigo wa uwezekano kuhusu kujiunganisha au ku“merge” kwao na Nguvu ya Mwanga na Sauti. Itategemea mambo mengi ikiwa ni pamoja na: maandalizi, mawazo yake ya awali, uwezo wa kupumzika siku hiyo na woga wa kujiachia. Maandalizi ni muhimu kwani mtahajudi atakaa kwa muda mrefu wakati wa siku ya Kuanzishwa, wakati mwingine hadi saa moja. Ni… Read more →
Monthly Archives: September 2017
Uhushuda wa ‟Enlightenment” (I.K.)
Mwaka mmoja uliopita kwenye mwezi wa Agosti Nilipata ‟Enlightenment” kwa njia ya fadhila na Neema ya Uongozi wa Kiroho. Nilianza kuwa na udadisi wa kutafuta Ukweli kuhusu asili yangu na maumbile nikiwa na umri wa miaka 7. Nilipokuwa na umri wa miaka 21 nilipata Neema ‟Grace” na kuanzishwa ‟Initiated” kwenye Mwanga na Sauti ya Kiroho. Mabadiliko makubwa katika… Read more →