Monthly Archives: April 2015

Jitihada ya Amani

  Kuna sababu gani ya Ku‟Initiate” na Ku‟Enlighten” watu wengi kiasi hiki? Je, tunawezaje kuepuka nia za wale wanaorudia mara kwa mara kusababisha vita katika dunia hii? Kutoka Uongozi wa Kiroho Jibu lako halipo kwenye jinsi ya kuepuka (nia ya vita) lakini jinsi ya kubadilisha ufahamu wa dunia yenu. Mara tamaa ya madaraka inapogeuka kuwa uvamizi hakuna mengi yanayoweza kufanyika.… Read more →

“Aphorisms” za Phaedra

  Tunao unyenyekevu mkubwa kwa kuwa na ‟aphorisms” 33 zilizoelekezwa kwetu kutoka kwa Uongozi toka kwa Mwanamke wa Mwanga anayeitwa Phaedra. Tumetoa orodha yake hapa chini na pia ni pamoja na ‟aphorisms” nyingine ambazo ni wazi upande wa kulia wa tovuti pamoja na ‟aphorisms” zingine. Ni matumaini yetu kuwa zitatoa msukumo ndani na nje ya tahajudi zako. 1. Baada ya… Read more →

Shukrani

  Shukrani inaweza kujitokeza tu wakati fahamu zetu zimepanuka kiasi cha kutosha, ili kufunua na kudhihirisha mtazamo wa uhusiano kati ya binafsi na kile anbacho siyo binafsi. Kisha tunaweza kuona udhaifu wetu, udogo na mipaka yetu, tofauti na ukubwa wa ulimwengu, ambapo tunakuta “kuwepo kwa uhai wetu”. Kwa kuonyesha na kuwa na shukrani, tunakubali kwetu wenyewe, na kwa wengine, hatari… Read more →

Huduma

  Huduma, kwa wengi, itachukuliwa kama neno na dhana ya mtindo wa zamani. Katika dunia ya leo ya “mimi nitafaidikaje”, wazo la utii kwa njia ya kumhudumia mtu au jitihada fulani ni ya ajabu na kuonekana ya kizamani. Hata hivyo, linapokuja suala la Kiroho, ni kitu tunapaswa wote kutafakari na kuidhinisha kama njia ya asili ya kutembea njia yetu. Kama… Read more →