Madhumuni ya awali ya Njia hii ya Kiroho ni kwa ajili ya Mtafutaji kupewa upatikanaji wa Ngazi za Juu za Ufahamu ambazo huonekana kama Mwanga na Sauti nzuri za Ndani. Kwa Kutahajudi kwenye Nguvu hizi mtu hujifunza kuhusu Siri za Ulimwengu na kuanza kutambua Asili yao ya Kweli. Hii ni zaidi ya nyanja za kimwili, kihisia na kiakili. Sio… Read more →
Nick Howell
Viumbe Wengine (Other Intelligences)
Tunapoangalia ukubwa wa ulimwengu ni vigumu kudhani kwamba binadamu anawakilisha kilele cha maisha ya Viumbe wenye akili. Kama pia tunafikiria uwezekano wa kuwepo kwa “Dimensions” zingine basi hatuna budi kufikiria kwa uzito uwezekano wa kuwepo kwa Viumbe ambao wanatuzidi sisi wote kitaalam na kiakili. Viumbe wanaoishi kwenye ulimwengu wa kimwili (physical universe) na kufungwa na sheria zake watapambana sana… Read more →
Ushuhuda (G.G.)
Siku 3 – Tarehe 1-3 Januari 2018 Ni asubuhi saa nne na dakika 57 (10:57 am) tu, siku ya tatu ya siku tatu za kutahajudi. Leo asubuhi, kwa staili ya Hollywood ya ajabu, nyota za uumbaji zilinichukua mimi kwenye safari ya ajabu kwenye mipaka yote ya kuwa na kwingineko. Niliomba kuwa Enlightened siku ya kwanza. Lakini jana ilikuwa siku… Read more →
Mifano ya Kiroho
Tunapojaribu kufikiria na kuelewa Ulimwengu wa Kiroho kwa ujumla tunafanya hivyo kwa njia ya msaada wa baadhi ya mifano. Kwa kawaida hiki ni kitu ambacho tumefundishwa au kusoma katika kitabu. Baadhi ya watu wanaweza kuchagua kugawanya Ulimwengu wa Kiroho kwenye mikoa, wengine huwa na taswira ya ngazi kama tabaka ya mwamba wakati wengine wanaweza kujaribu kuwaza kwamba kila kitu… Read more →
Ukubwa na Upana wa Uwezekano
Wakati mtu anapoanzishwa kuna wigo wa uwezekano kuhusu kujiunganisha au ku“merge” kwao na Nguvu ya Mwanga na Sauti. Itategemea mambo mengi ikiwa ni pamoja na: maandalizi, mawazo yake ya awali, uwezo wa kupumzika siku hiyo na woga wa kujiachia. Maandalizi ni muhimu kwani mtahajudi atakaa kwa muda mrefu wakati wa siku ya Kuanzishwa, wakati mwingine hadi saa moja. Ni… Read more →
Uhushuda wa ‟Enlightenment” (I.K.)
Mwaka mmoja uliopita kwenye mwezi wa Agosti Nilipata ‟Enlightenment” kwa njia ya fadhila na Neema ya Uongozi wa Kiroho. Nilianza kuwa na udadisi wa kutafuta Ukweli kuhusu asili yangu na maumbile nikiwa na umri wa miaka 7. Nilipokuwa na umri wa miaka 21 nilipata Neema ‟Grace” na kuanzishwa ‟Initiated” kwenye Mwanga na Sauti ya Kiroho. Mabadiliko makubwa katika… Read more →
‟Ascension” Imeanza
Tunafahamu kutoka Uongozi wa Kiroho kwamba Kupanda ‟Ascension” haitakuwa tukio la janga lakini litakua na mchakato taratibu na wa upole. Kadiri watu zaidi na zaidi wanavyoanzishwa Nguvu za Mwanga na Sauti itaanza kuwa na athari nzuri itaongezaka kwenye Sayari hii pamoja na wakazi wake. Mchakato huu tayari umeanza na kuna dalili nyingi zinazoonyesha hili. Tayari tumetaja kwamba watu wengi… Read more →
Ushuhuda
Wakati mimi nilipokaa kwa ajili ya ‟Initiation” yangu nilikuwa na matarajio kidogo sana. Ingawa nilikuwa na heshima kwa watu ambao walinifundishwa na kuniongoza nilihisi kuwa, kutokana na bidii yao, wangekuwa na uwezekano wa ‟kutia chumvi” kidogo. Nilikuwa nimekosea kabisa! Hakuna kitu ambacho kingeweza kunitayarisha kwa kile kilichotokea wakati mimi “nilipoguswa”. Nilirushwa na kuchukuliwa na kupita kwenye ngazi… Read more →
Ushuhuda (P.P.G.)
Kwa kawaida nimezoea kupata maumivu mengi wakati wa ‟period” hivi kwamba ni lazima kumeza dawa za kutuliza maumivu kila baada ya saa saba hadi nane kwa siku tatu za kwanza katika kipindi changu. Na kama nikichelewesha hata dakika chache, tumbo langu huuma sana, natapika na kuwa mgonjwa kweli, hata kutembea siwezi. Kawaida huchukua na kumeza dawa za kutuliza maumivu… Read more →
Kujitambua Mweyewe na Kumtambua Mungu
Kujitambua Binafsi na Kumtambua Mungu ni tofauti kabisa. Kuna fafanuzi nyingi zinazopatikana kwenye maandishi ya kiroho, mengi ambayo yana utata na hata kuwa kinyume. Kwa sababu hiyo sisi tuliona tunapaswa kujaribu kuweka wazi maana ya maneno haya. Kujitambua Mwenyewe Hii hutokea wakati tunapopata uzoefu wa upanuzi wa Ufahamu ambao tunatambua ya kwamba kila kitu tunachofahamu ni nafsi zetu. Tunahusiana… Read more →