Ili kuijibu swali, “Tafadhali mnaweza kuzungumza nasi kuhusu kwa nini mtu anapaswa kutafuta ‟Initiation” na kufuata Njia ya kiroho, na jinsi gani inamsaidia mtu wakati wa kifo?”
Mtu anapopata ‟Initiation”, mara moja inatengeneza uwekano wa kiungo kwenye Ngazi za Juu. Kuendeleza kiungo hicho, ili kupata nguvu zaidi na zaidi, itategemea ni kiasi gani mtu anafanya kazi na Nishati za Mwanga na Sauti.
Kama kitu kingine chochote, inabidi kufanya mazoezi ili kuwa mzoefu na kuanzishwa peke yake hakuwezi kukufanya wewe Mashuhuri wa Kutahajudi. Unahitaji kuifanyia kazi kila siku, kama vile mwana michezo anavyohitaji kufanya mazoezi kuwa mwana michezo nyota. Unahitaji kufuata ushauri wa Washauri wako, kwani wanajua mitego mingi kwa hivyo wanaweza kukuongoza vizuri.
Ni wazi, kama mtu akifuata Safari na kupata ‟Initiation” ya Pili na ‟Enlightenment”, ni bora zaidi kwani wangeweza daima fikiria kuwa ‟Enlightenment” ingekuwaje. Itakuwa kama kuingia ndani ya gari, na usiwasili mahali unapokwenda. Lakini sio kila mtu ambaye anapata ‟Initiation” atapata ‟Enlightenment” kwa ajili ya sababu mbalimbali. Mojawapo ya msingi ikiwa kwamba lazima wawe na hamu ya ndani ya Ukweli wa Kuwepo kwao ili uweze kufunuliwa kwao. Kutakuwa na changamoto njiani na watu wengine kuanguka au wataacha Njia.
Kwa wakati huu, ngoja Tusisitize jinsi inavyoshangaza, na jinsi gani ilivyo nadra, kupata Njia kama hii ya Mwanga na Sauti.
Ilisemekana kuwa, “Wakati mwanafunzi akiwa tayari, Mwalimu atatokea.” Kwa hiyo nyote ambao mnasubiri kupata ‟Initiation”, ina maana kuwa mmevutwa kwenye mafundisho haya na mko tayari kuyapokea.
Ni kweli kwamba ukifuata Njia ya Kiroho unajifunza jinsi ya “Kufa Kila Siku”. Hii ina maana kwamba wewe unajiachia kwenye Mwanga na Sauti na kuziruhusu Nguvu hizo kukuchukua popote.
Kadhalika kwenye kifo, uko tayari “kuchukuliwa” na hakuna mapambano. Wewe unaachia tu kama ulivyokuwa unafanya mazoezi. Kwa kuwa ulimwengu wa roho wa juu ni vigumu kuuelezea kwenu ninyi mlio katika miili ya kimwili, hatuwezi kuwaambia zaidi kuhusu njia ya mtu anayopita kwenye kifo, kwani tofauti ni nyingi na hazina mwisho. Inatosha kusema kwamba kadri ambavyo Umetahajudi itaelelezea wapi unafika kwenye wa kifo.