Tunaambiwa na Uongozi wa Kiroho kwamba Nishati mpya ya ‟WimbiMwanga” (Lightwave) imeletwa na imeachiliwa kwenye Sayari yetu. Madhumuni yake ni kuruhusu idadi kubwa ya watu duniani kote wapate Kuanzishwa kwenye Mwanga na Sauti, baadhi yao watakuwa ‟Enlightened”. Hata hivyo kuna, sababu nyingine, ambayo inahusu kufikia kundi kubwa la Watahajudi 75,000 ambalo litakuwa na uwezo wa kubadilisha Ufahamu wa Sayari.… Read more →
Monthly Archives: May 2016
Ushuhuda (C.B.)
Awali nilikuwa nasita kuandika ushuhuda; hakuna mchanganyiko wowote ule wa maneno yoyote ambayo yanaweza kuelezea maana ya Enlightenment, sio wakati tu mimi nilipopata Enlightenment lakini hata sasa miezi miwili baadaye. Mimi bado kwa kiasi fulani ninasita, kwa hivyo tafadhali, acha niandike Msukumo badala yake. Miaka mingi iliyopita wakati ndio kwanza nilikuwa naanza safari yangu ya kutahajudi, Adept alichukua… Read more →