Monthly Archives: December 2015

Ushuhuda (J.M.)

  Kutuama na Utulivu wa ndani unatuongoza kwenda kwenye Hali ya mabadiliko makubwa ambapo hakuna kitu kinachohitajika na hakuna hamu ya kutaka chochote. Sisi tunatambua kuwa huru tu. Akili na mwili havitahajudi wala havipati Enlightenment. Kile ambacho ni Wewe (Self) kinajitabua Chenyewe na kutokana na kutambua huku elimu ya kweli hushushwa kwenye mwili. Utambuzi wa Mungu ni lengo Kuu la… Read more →

Ushuhuda (C.B.)

  Initiation yangu imesababisha nipige mbizi kwa kina kirefu kwenye Nuru na Sauti. Ilikuwa ni jambo la kushangaza kufanya tahajudi ndefu kwa urahisi bila shida pamoja na lengo jipya kwa ajili ya Ufahamu wangu. Sauti sasa iko pamoja nami muda wote kwa siku nzima. Ninahisi ni rahisi kuipata Nuru kwenye tahajudi. Mimi nina furaha kukubali baraka hizi na nina shukurani… Read more →

Ushuhuda (C.M.)

  Initiation yangu ilihisi kuwa ya kina na nguvu na imenipeleka kwenye ngazi za ndani zaidi za tahajudi. Ingawa bado napambana kidogo kila mara kusikia Sauti, Mwanga uko pamoja nami mara moja na inaonekana kunipa mafundisho mengi sana. Initiation imenisaidia kuelewa ujumbe wa Mwanga na Sauti katika kwa njia mbili, ya binafsi na kila mahali pamoja na kuimarisha zoezi langu… Read more →