Monthly Archives: November 2016

Kujitambua Mweyewe na Kumtambua Mungu

  Kujitambua Binafsi na Kumtambua Mungu ni tofauti kabisa. Kuna fafanuzi nyingi zinazopatikana kwenye maandishi ya kiroho, mengi ambayo yana utata na hata kuwa kinyume. Kwa sababu hiyo sisi tuliona tunapaswa kujaribu kuweka wazi maana ya maneno haya. Kujitambua Mwenyewe Hii hutokea wakati tunapopata uzoefu wa upanuzi wa Ufahamu ambao tunatambua ya kwamba kila kitu tunachofahamu ni nafsi zetu. Tunahusiana… Read more →

Sababu ya Kuwepo kwako

  Tumeandika juu kwenye Tovuti ya Nyumbani, ‟Fanya Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho “Enlightenment” kuwa Lengo lako: ndio Sababu ya Kuwepo kwako.” Tunahisi taarifa hii inastahili ufafanuzi. Kufikia Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho ni wazi kuwa ni tukio la nadra na kwa hivyo inapendekeza kuwa idadi kubwa ya watu hushindwa kutimiza sababu ya wao kuwa kwenye mwili. Watu wengi hawaonyeshi… Read more →