Monthly Archives: April 2016

Ushuhuda (M.S.)

  Nilipokaa kutahajudi wakati wa kipindi cha Neena kwenye Pasaka, dhamira yangu ilikuwa ni kukaa, na kama nikipata heri, kufikia initiation ya pili. Nilipokea initiation ya kwanza katikati ya Desemba iliyopita, na nimekuwa natahajudi kwa uaminifu kwenye ya Mwanga na Sauti tangu wakati huo. Sasa, hebu nitangulie kusema kwamba mimi si mgeni wa kutahajudi. Nilianzishwa kwenye Transcendental Meditation miaka 45… Read more →

Ushuhuda (K.R.)

  Nilianza kutahajudi mwaka 2006 na safari yangu mwanzoni ilikuwa ya ajabu, Nilitahajudi sana na kupenda uzoefu mpya niliokuwa naugundua. Kwa bahati mbaya hali yangu ya maisha ilibadilika ghafla na kwa bahati mbaya, iliathiri tahajudi yangu. Sikuwa na furaha kwa miaka mingi baada ya matukio hayo mabaya kwenye maisha yangu na ilikuwa vigumu kuelekeza mtazamo wangu kwenye tahajudi yangu. Wakati… Read more →

75,000

  Sisi tulitaja kwenye ukurasa wa nyumbani idadi ya ‟Initiations” ambazo zilitarajiwa kwa miaka 3. Idadi ya 75,000 iliwasilishwa kwetu na Uongozi wa Kiroho. Tumekuwa tukijadili jinsi ambavyo kuleta ‟Spirituality” kwenye Sayari yenu kwa kutumia ”Initiations” nyingi inaweza kuongeza Ufahamu kwa ujumla, wa wakazi. Hii basi husababisha ufahamu zaidi wa Sayari kwa ujumla, Upendo zaidi na Amani, na migogoro kupungua.… Read more →

Ushuhuda (A.R.)

  Nilikuwa na bahati ya kupata Initiation kwenye Mwanga na Sauti mwishoni mwa wiki iliyopita, uzoefu wangu ni wa ajabu, Najisikia amani ambayo sijawahi kuwa nayo kamwe, hakuna kitu kinachosumbua amani hii, na uzuri ni kwamba mtu anaweza kusambaza amani hii kwa wengine, lengo langu ni kutoa uzoefu huu kwa watu wengi. Nawatakia wote kila la heri na natumaini kukutana… Read more →

Ushuhuda (A.E.)

  Maneno hayawezi kuelezea uzuri wa mwanga niliouona. Kama picha ya jua linalotua, inaweza kuelezeka kwa kina, lakini hakuna cha kulinganisha na kusimama pembeni ya maji ufukoni na kuangalia na hisia ya jua juu ya uso. Uzuri ambao nisingeweza kuufikiria. Nyumbani. Kisha nikajaribu kuuelewa, ukaondoka, uzuri ambao sio wa kuguswa. Read more →

Ushuhuda (Y.G.)

  Kwanza nataka kutoa shukrani milioni kwa (J.M.) na (D.H.) kwa kuja toka mbali Kutuanzisha sisi kwenye kutafakari kwa Mwanga na Sauti na kusambaza maarifa na mafundisho yao kwa upendo sana, kwa unyenyekevu na kujitolea. Wao ni viumbe wawili wa ajabu. Nawapenda sana. Natuma kuwakumbatia kutoka kwa moyo wangu. Uzoefu wa hisia ya pumzi yangu, kurudi na kupiga mbizi kwenye… Read more →