Monthly Archives: March 2015

‟Initiation” Mpya ya Kwanza

  Jana usiku nilihudhuria kuzaliwa mara ya pili kwa mtoto wangu (Machi 19, 2015). Miaka thelathini na mitano iliyopita nilikuwepo wakati wa kuzaliwa kwake kimwili na sasa katika Kuamka kwake Kiroho. Nishati ambayo sisi sote tulishuhudia na kuhisi ni kama kufunikwa na kitu kama shuka safi lenye Upendo mkubwa bila masharti ambao ulionekana na kuyanaakisi kwa kila kitu karibu yetu.… Read more →

Ushuhuda (M.H.)

  Enlightenment yangu ilikuwa ni furaha safi. Wakati mimi nilipokaa kutahajudi nilibadilishwa na Upendo usio na mipaka ambao nilifahamu ni Asili yangu ya Kweli. Tangu wakati huo mimi nimekuwa na uwezo wa kutimiza lengo langu la kuwasaidia wengine kwa kuanza safari yao ya Kiroho na kufikia Enlightenment. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wale wote ambao wanasaidia katika Kazi hii ya… Read more →

Ushuhuda (N.H.)

  “Wakati nilipokaa kwa tahajudi ya Initiation ya kwanza kweli sikuwa na matarajio makubwa sana. Watu mara nyingi hutia chumvi lakini kwa kawaida ni kwa sababu ya shauku na sio kwa sababu ya udanganyifu. Hivyo nilikuwa hali ya uwazi kiakili ambayo nilikuja kukaa nayo kwenye mto wangu siku hiyo. Kwa vyovyote nisingeweza kuwa tayari kwa kile kilichotendeka wakati mimi nilipopewa… Read more →