Kwa kawaida nimezoea kupata maumivu mengi wakati wa ‟period” hivi kwamba ni lazima kumeza dawa za kutuliza maumivu kila baada ya saa saba hadi nane kwa siku tatu za kwanza katika kipindi changu. Na kama nikichelewesha hata dakika chache, tumbo langu huuma sana, natapika na kuwa mgonjwa kweli, hata kutembea siwezi. Kawaida huchukua na kumeza dawa za kutuliza maumivu… Read more →