Nilitahajudi usiku kucha, Jumapili, kwa mara ya kwanza kwangu lakini hapakuwa na wakati, ilikuwa rahisi bila kujitahidi na ajabu. Mimi daima nilihisi kulikuwa na safari, mahali papya na kusisimua, mahali fulani ninapoweza kuridhika milele. Ghafla, papo hapo hapakuwa. Kila kitu kilisimama – hakuna Sauti – hakuna Mwanga – hakuna Kitu, Ile sehemu yangu tu ambayo ilikuwa pamoja na kile… Read more →
Nick Howell
Uwezekano wa kweli wa Ubongo wa Binadamu
Ubongo unabakia kuwa moja ya siri yetu kuu; wote tunao mmoja na bado tunafahamu kidogo jinsi unavyofanya kazi. Katika miongo michache iliyopita sayansi imefanya uvumbuzi mkubwa wa kineourologia na neva na inaweza kufuatilia mawimbi ya ubongo pamoja na maeneo yenye shughuli wakati wa mchakato wa mawazo. Ambacho hakijulikani ni asili ya kweli ya kufikiri, mtazamo na kumbukumbu pamoja na… Read more →
Ushuhuda (J.M.)
Kutuama na Utulivu wa ndani unatuongoza kwenda kwenye Hali ya mabadiliko makubwa ambapo hakuna kitu kinachohitajika na hakuna hamu ya kutaka chochote. Sisi tunatambua kuwa huru tu. Akili na mwili havitahajudi wala havipati Enlightenment. Kile ambacho ni Wewe (Self) kinajitabua Chenyewe na kutokana na kutambua huku elimu ya kweli hushushwa kwenye mwili. Utambuzi wa Mungu ni lengo Kuu la… Read more →
Ushuhuda (C.B.)
Initiation yangu imesababisha nipige mbizi kwa kina kirefu kwenye Nuru na Sauti. Ilikuwa ni jambo la kushangaza kufanya tahajudi ndefu kwa urahisi bila shida pamoja na lengo jipya kwa ajili ya Ufahamu wangu. Sauti sasa iko pamoja nami muda wote kwa siku nzima. Ninahisi ni rahisi kuipata Nuru kwenye tahajudi. Mimi nina furaha kukubali baraka hizi na nina shukurani… Read more →
Ushuhuda (C.M.)
Initiation yangu ilihisi kuwa ya kina na nguvu na imenipeleka kwenye ngazi za ndani zaidi za tahajudi. Ingawa bado napambana kidogo kila mara kusikia Sauti, Mwanga uko pamoja nami mara moja na inaonekana kunipa mafundisho mengi sana. Initiation imenisaidia kuelewa ujumbe wa Mwanga na Sauti katika kwa njia mbili, ya binafsi na kila mahali pamoja na kuimarisha zoezi langu… Read more →
Lugha ya Kiroho
Utaona kwamba, wakati unasoma makala kwenye tovuti hii, maneno mengi yaliyotumika huanza na herufi kubwa. Sababu inayotufanya tutumie herufi kubwa ni kwamba lugha ya Kiingereza au Kiswahili hazina misamiati inayoweza kufikisha dhana kuhusu kile ambacho tunaandika. Kisanskriti, kwa upande mwingine, kilichokua na kuendelea katika mazingira ambayo Ufahamu wa Kiroho ulikuwa kawaida kina idadi kubwa ya maneno yanayohusiana na somo… Read more →
Ushuhuda (T.S.)
Kwenye mazungumzo mimi najikuta naenda mahali fulani lakini akili yangu iko mahali pengine … ni vitu viwili tofauti. Mawazo yangu yanaweza kuzungumza maneno mengi lakini Mimi bado ninatahajudi … sisumbuliwi na mawazo. Ni kama mimi ni mtazamaji wa mtazamaji ambaye anaweza kuwa na mazungumzo; mawazo yangu hajavurugi Utulivu. Read more →
Ushuhuda (A.B.)
Katika mazungumzo Siyo kuhusu kuonekana tu. Mimi nilikuwa nimeketi kwenye mwili mmoja na bado nikiwa na ufahamu wa mwingine. Nilikuwa na uwezo wa kubadili mitazamo. Sasa kuna Kitu nyuma yangu kinanitafakari mimi. Mabadiliko makubwa kwangu … Mimi niko imara sana ingawa sio hapa … nina ufahamu zaidi wa pande mbili (duality). Read more →
Kutahajudi Popote
Usafari wa London ulinitia moyo kutahajudi katika maeneo ambayo kawaida yasingefikiriwa kuwa mazuri kwa kukaa kimya na kutambua kutoka ndani. Uzoefu unaonyesha kwamba tunaweza kuwa na maswali kuhusu dhana, mawazo na kujenga mabadiliko mazuri. Sehemu moja ilikuwa kwenye treni, na uzoefu ni kwamba zinaweza kuwa zimejaa wasafiri wanaojisukuma kwenye nafasi yako binafsi, hakuna hewa ya kutosha, joto lililozidi kiasi… Read more →
Ushuhuda (S.C.)
Nitasema kwamba Mantra inaniondolwa kuvurugikiwa, hata kama haina maana yoyote kurudia maneno fulani. Namwamini mtoaji wa Mantra ambayo mimi nimepokea na najua ni kwa ajili yangu na ina sababu. Phoenix Arizona Read more →