Nick Howell

Ushuhuda (I.M.)

  Nimeona kuwa nikitumia dakika 15-20 kufanya tahajudi ya mantra yangu inaweza kuleta roho shwari kwangu. Ninapata mitazamo tofauti juu ya baadhi ya mambo ambayo yalikuwa na wasiwasi kwangu na ninapata hoja bora zaidi. Anthem Arizona Read more →

Ushuhuda (J.B.)

  Tangu nimeanza kutumia mantra, nina ufahamu zaidi kwamba ni kiasi gani zaidi cha ukubwa wa ulimwengu wangu. Dunia yangu imekuwa ndogo ukilinganisha na ukubwa wa yote. Jambo la kuvutia zaidi ni kwamba mimi sijihisi ndogo katika Ulimwengu huu uliopanuka. Najisikia zaidi sehemu ya Ulimwengu huu uliopanuka, napata hisia ya amani kuwa huu Ulimwengu katika siku za nyuma ilikuwa na… Read more →

Ushuhuda (D.P.)

  Kutahajudi kwenye Mwanga na Sauti kumeongezea kina cha ajabu kwenye maisha yangu nikilinganisha na kitu kingine chochote kile nilichojaribu. Kwa miaka mingi nimeendelea kuyeyushia mbali zile sehemu zangu ambazo hazikuwa chochote zaidi ya kuwa vikwazo vya maendeleo yangu kwenye Safari yangu ya Kiroho na kuacha mimi kujihisi mwepesi zaidi, mwenye furaha zaidi na kuwa wazi zaidi kwa nguvu hizi… Read more →

Kuwa Kwenye ‟Moment”

  Hili ni somo ambalo mengi tayari yameandikwa na watu wengi wanadhani wanalielewa. Hata hivyo, kwa sababu litakuwa msaada kwenye kutahajudi, ni muhimu kuchunguzwa na kutekelezwa katika maisha ya mtu. Kwa maana nyingine ni vigumu kutokuwa katika wakati huu. Wewe, ama una ukufahamu wa kile unachofanya kwa sasa, una ufahamu wa mawazo yanayohusu awali yaliyopita au una ufahamu wa mwelekezo… Read more →

Chanzo Cha Maarifa Yote

  Yanatoka wapi mawazo mapya, ugunduzi na uvumbuzi? Watu wengi wengedai kwamba yametoka kwenye akili zao wenyewe na walipata uvuvio na kuongozwa na baadhi ya tukio, uchunguzi au hata ndoto. Je, tunawazaje kueleza kuhusu watoto maalum wenye akili na uwezo wa kuandika ‟symphonies” au kuzungumza lugha nyingi au wenye uwezo mkubwa wa hisabati? Wengi wangedai na kupendekeza watoto hawa maalum… Read more →

Ushuhuda (D.H.)

  Tahajudi ya mwanga na sauti ni njia ya kale ya kutahajudi ambayo inafunua na inaonyesha njia ya kiroho kutoka ufunuo wa lotus ya petal elfu moja hadi Enlightenment. Kuona lotus ya petal elfu moja kwenye Initiation yangu ya kwanza nilipokuwa na umri wa miaka 20 mnamo mwezi Februari mwaka 1987 ilikuwa ni uzoefu wa ajabu wa Kiroho ambao ulinionyesha… Read more →

Kutahajudi Kwenye Mwanga

  Kila ‟Initiate” ana safari yake mwenyewe. Kama Mtafutaji hawezi kufikia mwanga, basi wanapaswa kuangalia mioyo yao na kushangaa ni kwa nini: – 1) Nina uchoyo na tamaa sana ya mwanga na si ruhusu kila kitu kutokea katika muda wake? 2) Je, Najisikia sifai? 3) Wakati ninapokaa kutahajudi, Je niko wazi kwa ajili ya chochote kinachotokea? 4) Je, kuna kitu… Read more →

Ukweli Kuhusu ‟Enlightenment”

  Mara nyingi ikijulikana kama hali ya kudumu ya kuwa. Kutoka Uongozi wa Kiroho Hali ya kudumu ambayo mnaisema haiwezi kuwa ya kudumu, katika mwili wa kimwili. Unaweza kuwa na ‟realizations” pamoja na hali za ufahamu lakini hivyo ndivyo zilivyo, sio hali za kuwa. Kwa mfano, unaweza kushuhudia hali ya “kutokufikiri” kwenye kina cha tahajudi, lakini wewe ni shahidi, sio… Read more →

Kwa nini Nguvu inakuja katika mawimbi na mizunguko?

  Jibu kutoka Uongozi wa Kiroho: Mawimbi ni sehemu ya utaratibu wa maisha na nguvu zote zinaweza kuchukuliwa kuwa na wimbi kwa asili. Mawimbi pia yanakuja kutoka ngazi za juu, wakati dunia iko tayari, kuleta mabadiliko ya mageuzi. Hizi ni pamoja na “cheche” ambazo husababisha uvumbuzi mpya na teknolojia pamoja na mawazo mapya ambayo binadamu wanapewa wakati wamebadilika kwa kiwango… Read more →

Jitihada ya Amani

  Kuna sababu gani ya Ku‟Initiate” na Ku‟Enlighten” watu wengi kiasi hiki? Je, tunawezaje kuepuka nia za wale wanaorudia mara kwa mara kusababisha vita katika dunia hii? Kutoka Uongozi wa Kiroho Jibu lako halipo kwenye jinsi ya kuepuka (nia ya vita) lakini jinsi ya kubadilisha ufahamu wa dunia yenu. Mara tamaa ya madaraka inapogeuka kuwa uvamizi hakuna mengi yanayoweza kufanyika.… Read more →