Ushuhuda (A.B.)

 

Katika mazungumzo

Siyo kuhusu kuonekana tu. Mimi nilikuwa nimeketi kwenye mwili mmoja na bado nikiwa na ufahamu wa mwingine.
Nilikuwa na uwezo wa kubadili mitazamo. Sasa kuna Kitu nyuma yangu kinanitafakari mimi. Mabadiliko makubwa kwangu … Mimi niko imara sana ingawa sio hapa … nina ufahamu zaidi wa pande mbili (duality).