Ushuhuda (T.S.)

 

Kwenye mazungumzo mimi najikuta naenda mahali fulani lakini akili yangu iko mahali pengine … ni vitu viwili tofauti. Mawazo yangu yanaweza kuzungumza maneno mengi lakini Mimi bado ninatahajudi … sisumbuliwi na mawazo. Ni kama mimi ni mtazamaji wa mtazamaji ambaye anaweza kuwa na mazungumzo; mawazo yangu hajavurugi Utulivu.