Nilipokaa kutahajudi wakati wa kipindi cha Neena kwenye Pasaka, dhamira yangu ilikuwa ni kukaa, na kama nikipata heri, kufikia initiation ya pili. Nilipokea initiation ya kwanza katikati ya Desemba iliyopita, na nimekuwa natahajudi kwa uaminifu kwenye ya Mwanga na Sauti tangu wakati huo. Sasa, hebu nitangulie kusema kwamba mimi si mgeni wa kutahajudi. Nilianzishwa kwenye Transcendental Meditation miaka 45… Read more →
Nick Howell
Ushuhuda (K.R.)
Nilianza kutahajudi mwaka 2006 na safari yangu mwanzoni ilikuwa ya ajabu, Nilitahajudi sana na kupenda uzoefu mpya niliokuwa naugundua. Kwa bahati mbaya hali yangu ya maisha ilibadilika ghafla na kwa bahati mbaya, iliathiri tahajudi yangu. Sikuwa na furaha kwa miaka mingi baada ya matukio hayo mabaya kwenye maisha yangu na ilikuwa vigumu kuelekeza mtazamo wangu kwenye tahajudi yangu. Wakati… Read more →
75,000
Sisi tulitaja kwenye ukurasa wa nyumbani idadi ya ‟Initiations” ambazo zilitarajiwa kwa miaka 3. Idadi ya 75,000 iliwasilishwa kwetu na Uongozi wa Kiroho. Tumekuwa tukijadili jinsi ambavyo kuleta ‟Spirituality” kwenye Sayari yenu kwa kutumia ”Initiations” nyingi inaweza kuongeza Ufahamu kwa ujumla, wa wakazi. Hii basi husababisha ufahamu zaidi wa Sayari kwa ujumla, Upendo zaidi na Amani, na migogoro kupungua.… Read more →
Ushuhuda (A.R.)
Nilikuwa na bahati ya kupata Initiation kwenye Mwanga na Sauti mwishoni mwa wiki iliyopita, uzoefu wangu ni wa ajabu, Najisikia amani ambayo sijawahi kuwa nayo kamwe, hakuna kitu kinachosumbua amani hii, na uzuri ni kwamba mtu anaweza kusambaza amani hii kwa wengine, lengo langu ni kutoa uzoefu huu kwa watu wengi. Nawatakia wote kila la heri na natumaini kukutana… Read more →
Ushuhuda (A.E.)
Maneno hayawezi kuelezea uzuri wa mwanga niliouona. Kama picha ya jua linalotua, inaweza kuelezeka kwa kina, lakini hakuna cha kulinganisha na kusimama pembeni ya maji ufukoni na kuangalia na hisia ya jua juu ya uso. Uzuri ambao nisingeweza kuufikiria. Nyumbani. Kisha nikajaribu kuuelewa, ukaondoka, uzuri ambao sio wa kuguswa. Read more →
Ushuhuda (Y.G.)
Kwanza nataka kutoa shukrani milioni kwa (J.M.) na (D.H.) kwa kuja toka mbali Kutuanzisha sisi kwenye kutafakari kwa Mwanga na Sauti na kusambaza maarifa na mafundisho yao kwa upendo sana, kwa unyenyekevu na kujitolea. Wao ni viumbe wawili wa ajabu. Nawapenda sana. Natuma kuwakumbatia kutoka kwa moyo wangu. Uzoefu wa hisia ya pumzi yangu, kurudi na kupiga mbizi kwenye… Read more →
Kwa nini tutafute ‟Initiation”
Ili kuijibu swali, “Tafadhali mnaweza kuzungumza nasi kuhusu kwa nini mtu anapaswa kutafuta ‟Initiation” na kufuata Njia ya kiroho, na jinsi gani inamsaidia mtu wakati wa kifo?” Mtu anapopata ‟Initiation”, mara moja inatengeneza uwekano wa kiungo kwenye Ngazi za Juu. Kuendeleza kiungo hicho, ili kupata nguvu zaidi na zaidi, itategemea ni kiasi gani mtu anafanya kazi na Nishati za… Read more →
Kutahajudi kwenye Mwanga na Sound
Nishati za Mwanga na sauti zimetajwa kwenye vitabu vingi visivyo na idadi na huongelewa na makundi mengi yanayotahajudi. Hata hivyo, kuna aina nyingi za nguvu hizi ambazo ziko kwenye makundi 3 makubwa: kimwili, kufikiri na Kiroho. Tunataka kuweka wazi kabisa kuwa Nishati tunazozisema hazina uhusiano na ngazi za chini ambazo ni matokeo ya hisia za kimwili na akili zetu.… Read more →
Free Will
Kwa miaka mingi suala la ‟Free Will” limeulizwa mara nyingi na majibu tofauti yametolewa. Tunadhani baadhi ya hayo majibu yana mantiki kidogo sana. Kwa mfano: Kutoka kwenye ‟Enlightenment” kuna kitu kimoja kila mahali kwa hiyo hakuna pande mbili, hakuna uchaguzi hakuna ‟Free Will”. Hata hivyo, hii inaonyesha kwamba unaweza kuwa na mtazamo kutoka ‟Enlightenment” na akili pia ikiwpo kwenye… Read more →
Ushuhuda (Y. F.)
Kadri mimi ninavyoweza kukumbuka, nilikuwa natafuta maana ya ndani katika kila kitu karibu yangu, nilikuwa nikitafuta ukweli wa ndani, nilikuwa na hamu ya upendo mkubwa, nilikuwa na ndoto ya kubadilisha ulimwengu kuwa mahali bora zaidi, hata mimi nikawa nimechoshwa na maisha mara nyingi nyakati ambapo imani ya haki na sio haki, mema na mabaya haikuweza kulingana na hisia kuwa… Read more →