Kutahajudi Kwenye Mwanga

 

Kila ‟Initiate” ana safari yake mwenyewe. Kama Mtafutaji hawezi kufikia mwanga, basi wanapaswa kuangalia mioyo yao na kushangaa ni kwa nini: –

1) Nina uchoyo na tamaa sana ya mwanga na si ruhusu kila kitu kutokea katika muda wake?

2) Je, Najisikia sifai?

3) Wakati ninapokaa kutahajudi, Je niko wazi kwa ajili ya chochote kinachotokea?

4) Je, kuna kitu kwenye mawazo yangu ambacho kinahitaji kushughulikiwa?

Sisi wote huleta kitu mezani, ‟so to speak”: haiwezekani kuwa ‟neutral” kabisa. Mtafutaji safi, wazi, mtoaji ambaye anataka tu kuachia matatizo yake, atakuwa mmoja ambaye anapata zaidi kutoka kwenye safari hii ya ajabu