Msukumo

Universal Intelligence

  Utangulizi Initiates au watu walioanzishwa na Watahajudi wa Mwanga na Sauti wanaona kwa kifupi Ufunuo wa Ulimwengu wa Kiroho kwenye safari yao ya Ukombozi wa Ufahamu au Enlightenment. Wanaripoti kwamba Nishati wanazozitumia Kutahajudi ni “hai” na zinaonekana kuonyesha kusudi. Hii inatupeleka kwenye hitimisho kwamba Ulimwengu wote unaweza kuzingatiwa kama dhihirisho la Ujuzi au Akili yaani Intelligence. Hata hivyo, ni… Read more →

Mradi Wa Mwanga wa Alimasi

  Ilianza zamani mwanzoni mwa mwaka 2011 wakati tunapokea habari toka kwa rafiki yangu kuhusu resonance ya Schumann. Hii ni frequency ya elektromagneti dhaifu (very weak electromagnetic) ambayo hutolewa wakati umeme wa radi unapochomoza kwenye anga ya Dunia. Mwanzoni tulitengeneza seti ya coils kutumia toroidal transformer na tukazipa nguvu na signal iliyotoka kwenye jenereta ndogo kwa kutumia wimbi la sine… Read more →

Historia ya Njia ya Tahajudi ya Mwanga na Sauti

  Ingawaje Njia ya Uongozi wa Kiroho (wakati mwingine huitwa WimbiMwanga Mpya “New LightWave”) ilianza mnamo Februari 2015 , tulikuwa tumepokea Ujumbe mwingi mwaka uliopita. Zilikuwa juu ya aina mpya ya teknolojia na habari ya kushangaza juu ya miunganisho kati ya Sayari yetu na vitu vingine vya Anga kwenye ulimwengu wa kimwili.   Halafu mnamo 16 Februari 2015 Tunataka uanzishe… Read more →

Nyumba ya Wageni na Rumi

  Hii kuwa binadamu ni nyumba ya wageni. Kila asubuhi huwasili mgeni mpya. Furaha, unyonge, udhalili, mwamko wa muda unakuja kama mgeni asiyetarajiwa. Karibisha na kuwaburudisha wote! Hata kama wao ni umati wa huzuni, ambao kwa nguvu huondoa na kuacha nyumba yako tupu bila fanicha zake, bado, unampa heshima kila mgeni. Anaweza kuwa anakumaliza Kwa namna mpya ya raha. Mawazo… Read more →

Hofu Na Khalil Gibran

  Inasemekana kuwa kabla ya kuingia baharini mto hutetemeka kwa hofu. Anaangalia nyuma njia ambayo ametembea, kutoka kwa vilele vya milima, barabara ndefu iliyopindapinda inayovuka misitu na vijiji. Na mbele yake, Anaona bahari kubwa sana, kwamba kuingia hakuna kinachoonekana zaidi ya kutoweka milele. Lakini hakuna njia nyingine. Mto hauwezi kurudi nyuma. Hakuna mtu anayeweza kurudi nyuma. Kurudi nyuma haiwezekani katika… Read more →

Kiwango cha Kuendelea

  Enzi za Zamani ilimchukua mtu kujitolea maisha yake yote kuwa na maendeleo ya kweli ya Kiroho. Pia ilihitaji kujiondoa kutoka katika jamii na kuishi maisha safi kabisa ya ki“ascetic”. Siku hizi tunaelewa kuwa Nishati ya Kiroho kwenye sayari iko katika kiwango kikubwa mno ambacho kinawawezesha watu kufanya Upanuzi wa Ufahamu wa kushangaza. Baadhi hufanyika kupitia utaftaji wa Njia za… Read more →

Mawasiliano ya Mbinguni

  Mwalimu wetu mmoja Mkuu wa Mwanga na Sauti, hivi karibuni ameachia mwili wake wa kimwili na kupaa kwenye ngazi za juu za Mbinguni. Baada ya siku 3 alifanya Mawasiliano yake ya kwanza na tunatumaini kuwa kutakuwa na mengi zaidi. Tunataka kuweza kuwahusisha na kuwaletea ujumbe na maneno yake, kwa hivyo tumetengeneza ukurasa maalum kwenye tovuti yetu ya Uamsho na… Read more →

Pale Elimu Ya Kiroho na Teknolojia Zinapokutana

    Elimu Ya Kiroho na teknolojia sio maneno mawili ambayo mara nyingi unayaona pamoja, lakini yana uhusiano. Jarida la Brain World linaonyesha kwamba dini haikubali maoni ya sayansi kila wakati, lakini inachukua na kurekebisha moja ya matokeo mazuri ya sayansi: teknolojia. Kwa mfano, mwanzoni mwa karne ya ishirini, redio iliruhusu watu kusikia mahubiri ya kiinjili katika faraja ya nyumba… Read more →

Nini Gharama Ya Elimu Ya Kiroho?

  Pesa inaweza kuelezewa kama nishati. Inafanya mambo yatokee na inaruhusu watu kupata vitu vya kimwili. Pia inaweza kununua uzoefu na maarifa. Thamani ya fedha ya kitu kwa ujumla hutokana na kile ambacho watu wako tayari kulipa. Hakuna chenye thamani kamili, inategemea bei ya soko ambayo daima hubadilika thamani. Linapokuja suala la Elimu Ya Kiroho sisi tunaingia kwenye “minefield”. Kuna… Read more →

Muhtasari: Maswali na Majibu

  Njia ya Tahajudi ya Mwanga na Sauti ni nini? Mwanga na Sauti ni Nguvu zinazojumuisha ngazi za juu za Ulimwengu wa Kiroho wa Kweli. Ngazi hizi za maumbile ni zaidi ya ulimwengu wa kimwili ambao ni pamoja na mwili, hisia na cha muhimu, zaidi ya mawazo yote. Hizi ngazi za Maumbile ndio Chanzo cha kila kitu ambacho sisi kwa… Read more →