Kajiru

Ushuhuda (E.H.)

  Habari wote (Aprili 2022), Nilianza kutahajudi kwenye Mwanga na Sauti ya ndani tarehe 12 Septemba mwaka jana. Kabla ya Kuanzishwa nilifanya tahajudi ya mantra. Wakati huo nilikuwa tayari naona Mwanga mwingi. Hata hivyo akili ilikuwa ikiniongoza wakati huo kwa nilichokiona. Jiometri ilikuwa tofauti. Niliona majengo mengi na kila aina ya asili. Baada ya Kuanzishwa nalinganisha kutahajudi kwangu na Yin… Read more →

Picha Kubwa kwa Ujumla

  Kichwa cha Habari cha tovuti yetu kinapendekeza kwamba sisi ni Kikundi cha Kutahajudi. Hii bila shaka ni kweli, lakini inafurahisha kutambua kwamba Mawasiliano ya kwanza kutoka kwa Utawala wa Kiroho, mwishoni mwa mwaka 2014, yalikuwa kuhusu aina pekee mpya za Nishati na Ulimwengu. Tuliongozwa kutengeneza mashine maridadi kwa kutumia teknolojia ya koili mbili ambayo inaweza kuonyeshwa kubadilisha ufahamu wa… Read more →

Ushuhuda (I.N.)

  Ilikuwa usiku wa tarehe 28 Disemba 2021, tukiwa katika zoezi la kutahajudi, mwalimu wetu aliyekuwa akituongoza alikuja na kunigusa. Niliona mwanga Mweupe, ambao baadaye ulififia na kisha likaja ua hili kubwa la zambarau lililochanua. Kesho yake tuliendelea na tafakari, siku hii nilianza kusikia sauti za vitu, baadaye nikawa nasikia sauti kama mawimbi ya maji ya mto unaotiririka, na sauti… Read more →

Ufahamu

  Kama wanadamu tunajiona kuwa tuna ufahamu. Ufahamu wetu unategemea pembejeo kutoka kwa hisia zetu tano, hisia zetu na mawazo. Tunaweza kuona wazi kwamba wanyama pia wana ufahamu kwa jinsi wanavyoitikia kutokana na uchochezi wa mazingira. Ingawa sayansi inaweza kuwa na mpaka kuhusu ufahamu wakati tunapozingatia ufalme wa mimea. Mimea pia huguswa na mazingira yao lakini je, hiyo ni sawa… Read more →

Vikundi Vingine – Mafundisho Mengine

  Mara nyingi tunaulizwa maswali juu ya vikundi vingine na mafundisho mengine. Mara nyingi kuna mafundisho yetu fulani ambayo yanafanana na ya vikundi hivi, ikiwa ni pamoja na tofauti zilizo wazi. Inasisimua na kufurahisha kugundua kuwa Mafundisho yanawasilishwa kwa watu wengi walio wazi na nyeti, kote Ulimwenguni, kwa wakati huu. Tatizo ni kwamba tofauti zinaweza kusababisha mkanganyiko na mijadala mikali.… Read more →

Mtazamo wa Mtu Mwenye Ukombozi wa Ufahamu

  Mitazamo Tofauti Hadithi ya vipofu na tembo inaonyesha vizuri hili. Kila kipofu anahisi sehemu tofauti ya tembo na wanafikiria wanajua wanashughulika na nini. Kila mwanadamu ana nafasi ya kipekee katika ulimwengu ambayo inapelekea kenye hoja na kubishana. Kila mtu anafikiria yuko sawa. Na kwa kweli wako sawa, kwa maoni yao. Kinachohitajika ni uwezo wa kujaribu na kuelewa hali kutoka… Read more →

Ushuhuda (A.O.)

  Safari yangu ya Ukombozi wa Ufahamu (Enlightenment). Kulikuwa na safu za tahajudi na za kushangaza kwa siku kadhaa – hali ya utupu, ya kuvutiwa, ya sauti kali sana, kisha sauti na upendo kuunganika; ni kana kwamba sauti ni kila kitu, kila mahali; nafasi ya kina iliyojazwa na sauti na mwanga kana kwamba imeunganishwa na chanzo cha uumbaji na nafasi… Read more →

Ushuhuda (C.V.)

  Habari kaka au dada katika mwanga, naomba maneno haya ya kwanza yawe na ujumbe wa Amani na Upendo kwa roho yako na moyo wako. Nimealikwa kushiriki nawe uzoefu wa ajabu sana ambao umenitokea katika safari hii, kuanzishwa kwenye Mwanga na Sauti, lakini kwanza ngoja niwaeleze kidogo kuhusu mimi. Siku zote nilijiona kuwa mtu wa kawaida, kondoo mmoja kati ya… Read more →

Neema

  Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tumeona maelfu ya watu kote Duniani Wakianzishwa kwenye Mwanga na Sauti. Kijadi, Safari ya Ukombozi wa Ufahamu au Enlightenment ilikuwa ngumu sana na ilimtaka Mtafutaji kufuata mtindo wa maisha magumu ya kujizuia; wengi wangeshindwa kufikia Lengo lao. Siku hizi Njia imetolewa kwa umati na idadi kubwa ya Walioanzishwa au Initiates wamepata safari hiyo… Read more →

Universal Intelligence

  Utangulizi Initiates au watu walioanzishwa na Watahajudi wa Mwanga na Sauti wanaona kwa kifupi Ufunuo wa Ulimwengu wa Kiroho kwenye safari yao ya Ukombozi wa Ufahamu au Enlightenment. Wanaripoti kwamba Nishati wanazozitumia Kutahajudi ni “hai” na zinaonekana kuonyesha kusudi. Hii inatupeleka kwenye hitimisho kwamba Ulimwengu wote unaweza kuzingatiwa kama dhihirisho la Ujuzi au Akili yaani Intelligence. Hata hivyo, ni… Read more →