Katika mazungumzo Siyo kuhusu kuonekana tu. Mimi nilikuwa nimeketi kwenye mwili mmoja na bado nikiwa na ufahamu wa mwingine. Nilikuwa na uwezo wa kubadili mitazamo. Sasa kuna Kitu nyuma yangu kinanitafakari mimi. Mabadiliko makubwa kwangu … Mimi niko imara sana ingawa sio hapa … nina ufahamu zaidi wa pande mbili (duality). Read more →
Ushuhuda
Watu wanapoandika kuhusu uzoefu (ushuhuda) wao na Hali za Ufahamu uwezekano wa kushindwa upo kwani maneno pekee hayana uwezo wa kufikisha na kuelezea Uzuri na Ukubwa wa Ulimwengu wa Kiroho. Hata hivyo, ili kuhamasisha wengine, tunawakushukuru kwa kujaribu!
Ushuhuda (S.C.)
Nitasema kwamba Mantra inaniondolwa kuvurugikiwa, hata kama haina maana yoyote kurudia maneno fulani. Namwamini mtoaji wa Mantra ambayo mimi nimepokea na najua ni kwa ajili yangu na ina sababu. Phoenix Arizona Read more →
Ushuhuda (I.M.)
Nimeona kuwa nikitumia dakika 15-20 kufanya tahajudi ya mantra yangu inaweza kuleta roho shwari kwangu. Ninapata mitazamo tofauti juu ya baadhi ya mambo ambayo yalikuwa na wasiwasi kwangu na ninapata hoja bora zaidi. Anthem Arizona Read more →
Ushuhuda (J.B.)
Tangu nimeanza kutumia mantra, nina ufahamu zaidi kwamba ni kiasi gani zaidi cha ukubwa wa ulimwengu wangu. Dunia yangu imekuwa ndogo ukilinganisha na ukubwa wa yote. Jambo la kuvutia zaidi ni kwamba mimi sijihisi ndogo katika Ulimwengu huu uliopanuka. Najisikia zaidi sehemu ya Ulimwengu huu uliopanuka, napata hisia ya amani kuwa huu Ulimwengu katika siku za nyuma ilikuwa na… Read more →
Ushuhuda (D.P.)
Kutahajudi kwenye Mwanga na Sauti kumeongezea kina cha ajabu kwenye maisha yangu nikilinganisha na kitu kingine chochote kile nilichojaribu. Kwa miaka mingi nimeendelea kuyeyushia mbali zile sehemu zangu ambazo hazikuwa chochote zaidi ya kuwa vikwazo vya maendeleo yangu kwenye Safari yangu ya Kiroho na kuacha mimi kujihisi mwepesi zaidi, mwenye furaha zaidi na kuwa wazi zaidi kwa nguvu hizi… Read more →
Ushuhuda (D.H.)
Tahajudi ya mwanga na sauti ni njia ya kale ya kutahajudi ambayo inafunua na inaonyesha njia ya kiroho kutoka ufunuo wa lotus ya petal elfu moja hadi Enlightenment. Kuona lotus ya petal elfu moja kwenye Initiation yangu ya kwanza nilipokuwa na umri wa miaka 20 mnamo mwezi Februari mwaka 1987 ilikuwa ni uzoefu wa ajabu wa Kiroho ambao ulinionyesha… Read more →
Ushuhuda (M.H.)
Enlightenment yangu ilikuwa ni furaha safi. Wakati mimi nilipokaa kutahajudi nilibadilishwa na Upendo usio na mipaka ambao nilifahamu ni Asili yangu ya Kweli. Tangu wakati huo mimi nimekuwa na uwezo wa kutimiza lengo langu la kuwasaidia wengine kwa kuanza safari yao ya Kiroho na kufikia Enlightenment. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wale wote ambao wanasaidia katika Kazi hii ya… Read more →
Ushuhuda (N.H.)
“Wakati nilipokaa kwa tahajudi ya Initiation ya kwanza kweli sikuwa na matarajio makubwa sana. Watu mara nyingi hutia chumvi lakini kwa kawaida ni kwa sababu ya shauku na sio kwa sababu ya udanganyifu. Hivyo nilikuwa hali ya uwazi kiakili ambayo nilikuja kukaa nayo kwenye mto wangu siku hiyo. Kwa vyovyote nisingeweza kuwa tayari kwa kile kilichotendeka wakati mimi nilipopewa… Read more →