Kajiru

Ushuhuda (P.L.)

  Kutahajudi kwangu kwenye ya Mwanga na Sauti kusikokuwa na mwisho kwa miaka kumi na hamu yangu ya kufikia madhumuni ya kweli ya kuwepo wangu, kumeniruhusu kufanya muujiza mkubwa zaidi wa Binadamu, Ukombozi wa Ufahamu au Enlightenment. Moyo wangu unafurahi na ninashukuru kwa sababu ninatambua ukuu wa KUWA. Kwa sababu mimi natambua Upendo wa kweli ni nini na nahisi upanuzi… Read more →

Mawasiliano ya Mbinguni

  Mwalimu wetu mmoja Mkuu wa Mwanga na Sauti, hivi karibuni ameachia mwili wake wa kimwili na kupaa kwenye ngazi za juu za Mbinguni. Baada ya siku 3 alifanya Mawasiliano yake ya kwanza na tunatumaini kuwa kutakuwa na mengi zaidi. Tunataka kuweza kuwahusisha na kuwaletea ujumbe na maneno yake, kwa hivyo tumetengeneza ukurasa maalum kwenye tovuti yetu ya Uamsho na… Read more →

Pale Elimu Ya Kiroho na Teknolojia Zinapokutana

    Elimu Ya Kiroho na teknolojia sio maneno mawili ambayo mara nyingi unayaona pamoja, lakini yana uhusiano. Jarida la Brain World linaonyesha kwamba dini haikubali maoni ya sayansi kila wakati, lakini inachukua na kurekebisha moja ya matokeo mazuri ya sayansi: teknolojia. Kwa mfano, mwanzoni mwa karne ya ishirini, redio iliruhusu watu kusikia mahubiri ya kiinjili katika faraja ya nyumba… Read more →

Nini Gharama Ya Elimu Ya Kiroho?

  Pesa inaweza kuelezewa kama nishati. Inafanya mambo yatokee na inaruhusu watu kupata vitu vya kimwili. Pia inaweza kununua uzoefu na maarifa. Thamani ya fedha ya kitu kwa ujumla hutokana na kile ambacho watu wako tayari kulipa. Hakuna chenye thamani kamili, inategemea bei ya soko ambayo daima hubadilika thamani. Linapokuja suala la Elimu Ya Kiroho sisi tunaingia kwenye “minefield”. Kuna… Read more →

Muhtasari: Maswali na Majibu

  Njia ya Tahajudi ya Mwanga na Sauti ni nini? Mwanga na Sauti ni Nguvu zinazojumuisha ngazi za juu za Ulimwengu wa Kiroho wa Kweli. Ngazi hizi za maumbile ni zaidi ya ulimwengu wa kimwili ambao ni pamoja na mwili, hisia na cha muhimu, zaidi ya mawazo yote. Hizi ngazi za Maumbile ndio Chanzo cha kila kitu ambacho sisi kwa… Read more →

Unyenyekevu ndio Ufunguo

  Dini na falsafa nyingi zinapendekeza kwamba Asili ya Mungu ni Umoja. Watu wengi duniani huamini kwamba hii pengine ni sawa na kweli. Kwenye Njia hii kamwe hatuhimiza imani kwa sababu nia ya Njia ni kujigundua mwenyewe au ugunduzi wa kile ambacho ni wewe. Sio muhimu kile ambacho watu wengine wanajua, kilicho muhimu haswa ni nini unajua. Sio kama zoezi… Read more →