Tunao unyenyekevu mkubwa kwa kuwa na ‟aphorisms” 33 zilizoelekezwa kwetu kutoka kwa Uongozi toka kwa Mwanamke wa Mwanga anayeitwa Phaedra. Tumetoa orodha yake hapa chini na pia ni pamoja na ‟aphorisms” nyingine ambazo ni wazi upande wa kulia wa tovuti pamoja na ‟aphorisms” zingine. Ni matumaini yetu kuwa zitatoa msukumo ndani na nje ya tahajudi zako. 1. Baada ya… Read more →
Msukumo
Shukrani
Shukrani inaweza kujitokeza tu wakati fahamu zetu zimepanuka kiasi cha kutosha, ili kufunua na kudhihirisha mtazamo wa uhusiano kati ya binafsi na kile anbacho siyo binafsi. Kisha tunaweza kuona udhaifu wetu, udogo na mipaka yetu, tofauti na ukubwa wa ulimwengu, ambapo tunakuta “kuwepo kwa uhai wetu”. Kwa kuonyesha na kuwa na shukrani, tunakubali kwetu wenyewe, na kwa wengine, hatari… Read more →
Huduma
Huduma, kwa wengi, itachukuliwa kama neno na dhana ya mtindo wa zamani. Katika dunia ya leo ya “mimi nitafaidikaje”, wazo la utii kwa njia ya kumhudumia mtu au jitihada fulani ni ya ajabu na kuonekana ya kizamani. Hata hivyo, linapokuja suala la Kiroho, ni kitu tunapaswa wote kutafakari na kuidhinisha kama njia ya asili ya kutembea njia yetu. Kama… Read more →
‟Initiation” Mpya ya Kwanza
Jana usiku nilihudhuria kuzaliwa mara ya pili kwa mtoto wangu (Machi 19, 2015). Miaka thelathini na mitano iliyopita nilikuwepo wakati wa kuzaliwa kwake kimwili na sasa katika Kuamka kwake Kiroho. Nishati ambayo sisi sote tulishuhudia na kuhisi ni kama kufunikwa na kitu kama shuka safi lenye Upendo mkubwa bila masharti ambao ulionekana na kuyanaakisi kwa kila kitu karibu yetu.… Read more →