Tag Archive for light & sound meditation

‟Initiation” Mpya ya Kwanza

  Jana usiku nilihudhuria kuzaliwa mara ya pili kwa mtoto wangu (Machi 19, 2015). Miaka thelathini na mitano iliyopita nilikuwepo wakati wa kuzaliwa kwake kimwili na sasa katika Kuamka kwake Kiroho. Nishati ambayo sisi sote tulishuhudia na kuhisi ni kama kufunikwa na kitu kama shuka safi lenye Upendo mkubwa bila masharti ambao ulionekana na kuyanaakisi kwa kila kitu karibu yetu.… Read more →