Wasiliana na Waalimu wa Kutahajudi

Sisi ni kundi la Waalimu wazoefu na wataalamu wa Kutahajudi kwenye Mwanga na Sauti ya Kiroho. Kwa wakati huu sisi tumewasiliana na Uongozi wa Kiroho ambao Wanatuma Nguvu kwa Watahajudi kuweza kupata Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho au “Enlightenment”.
 
Kwa msaada zaidi na maswali kuhusu Tahajudi yako tafadhali chagua eneo lako kwa KUBOFYA KWENYE RAMANI.

 

Tutafurahia kujibu maswali kuhusu mada kama vile:

  • Kutahajudi kwa ujumla
  • Tahajudi ya Pumzi
  • Tahjudi ya Mantra
  • Jinsi ya kufanya mazoezi ya kutahajudi
  • Safari ya Kiroho
  • Uongozi wa kiroho

Kama walimu wa kutahajudi na viongozi, tuko hapa kuwasikiliza na kuwatumikia. Tumia lugha yoyote iliyo rahisi kwako, tutafurahia kutafsiri mawasiliano yako na tuna walimu wengi wa kutahajudi wanaozungumza lugha mbalimbali.