Ushuhuda

Watu wanapoandika kuhusu uzoefu (ushuhuda) wao na Hali za Ufahamu uwezekano wa kushindwa upo kwani maneno pekee hayana uwezo wa kufikisha na kuelezea Uzuri na Ukubwa wa Ulimwengu wa Kiroho. Hata hivyo, ili kuhamasisha wengine, tunawakushukuru kwa kujaribu!

 

Testimonial (D.D.)

  Hadithi yangu ya utupu, ile ya Upendo … Ambayo hakuna maneno au hisia za kibinadamu za kuelezea, hata hivyo, ingawaje moja ambayo Moyo Wangu unaniuliza niandike asubuhi moja ambapo machozi ya furaha hudondoka kwenye kifua changu, ambapo matamanio ni kubaki milele bila kamwe kuachana, ndani ya umoja ambao unakuwa sababu ya kuwepo mtu, kutoka hupo siku zote kuunganika na… Read more →

Testimonial (M.P.)

  Mwanzoni mwa mwaka 2015 nilianza kuhisi tofauti kidogo na vile ambavyo nilihisi kila wakati, ilikuwa tofauti na vile ambavyo nilijua. Miaka mingi baadaye rafiki aliyekuwa amepata Enlightenment (P) 💖❤💙 alisisitiza kwamba inabidi nianzishwe katika mwanga na sauti, Sikuelewa nini alichokuwa anazungumzia, lakini nilikubali. Mnamo Julai 3, 2019 (C) alinipa Initiation na… nilianza safari nzuri na nilianza kuelewa mambo mengi.… Read more →

Ushuhuda (M.G.)

  Uzoefu wangu wa kwanza wa kuanzisha kwenye Mwanga & Sauti ulikuwa sahihi kabisa. Katika wakati muafaka na kamili. Nilikuwa nimetokea kwenye kufanya michakato mbali mbali kwa miaka kadhaa; na nilikuwa tayari nimefikia hatua ya kudhaniwa kutambua na kuelewa mambo mengi, pamoja na kujumuisha dhana za kujifunza, lakini nilijua kuwa kuna kitu kilikosekana na utupu fulani wa kuwa ulioundwa licha… Read more →

Ushuhuda (L.A.)

  Kuzungumza juu ya jinsi UZOEFU huu mzuri ulivyotokea, ni kurudi kwenye Kuanzishwa kwenye MWANGA NA SAUTI, ambapo nilifika kwa kufuatia moyo wangu. Ilikuwa ni uhusiano na uzima, nilihisi sehemu na wakati huo huo kila kitu, ilikuwa ni hisia isiyoelezeka, ngumu zaidi kwa sababu mimi nilikuwa mtu wa mwisho kusimulia uzoefu wangu, kwani kwa mawasiliano walianza upande wa pili wa… Read more →

Ushuhuda (A.C.)

  Baada ya miezi kadhaa ya kutahajudi kila wakati baada ya kuanzishwa na wiki moja kabla ya kupata Mwanga, katikati ya kelele ya machafuko na mfadhaiko wa kazi, katikati ya kazi ngumu, kuna jambo fulani lilitokea. Nilihisi wakati mmoja aina ya kutokuwa na mwili, nilikuwa nimetenganishwa kutoka kwa mwili wangu wa kimwili na niliingia kwenye nafasi tupu bila kuhitaji kutahajudi… Read more →

Ushuhuda (L.B.)

  Kuanzishwa kwenye njia ya mwanga Njia ya kurudi kwenye ujumla Na dhamiri fahamu yako imeamka Na uelewa wa jinsi tulivyo wakubwa. Uzoefu huo Hauelezeki Unabadilisha mwili wako wa kimwili kuwa nishati Unapanua nuru yako ya joto na mwanga usiyoweza kusimamishwa Umeninginizwa kwenye utupu kabisa. Ukimya katika utukufu kamili unaambatana nawe Nafasi ni wewe, na wewe ndiyo nafasi Wakati, upana,… Read more →

Ushuhuda (P.L.)

  Kutahajudi kwangu kwenye ya Mwanga na Sauti kusikokuwa na mwisho kwa miaka kumi na hamu yangu ya kufikia madhumuni ya kweli ya kuwepo wangu, kumeniruhusu kufanya muujiza mkubwa zaidi wa Binadamu, Ukombozi wa Ufahamu au Enlightenment. Moyo wangu unafurahi na ninashukuru kwa sababu ninatambua ukuu wa KUWA. Kwa sababu mimi natambua Upendo wa kweli ni nini na nahisi upanuzi… Read more →

Ushuhuda (G.G.)

  Siku 3 – Tarehe 1-3 Januari 2018 Ni asubuhi saa nne na dakika 57 (10:57 am) tu, siku ya tatu ya siku tatu za kutahajudi. Leo asubuhi, kwa staili ya Hollywood ya ajabu, nyota za uumbaji zilinichukua mimi kwenye safari ya ajabu kwenye mipaka yote ya kuwa na kwingineko. Niliomba kuwa Enlightened siku ya kwanza. Lakini jana ilikuwa siku… Read more →

Uhushuda wa ‟Enlightenment” (I.K.)

  Mwaka mmoja uliopita kwenye mwezi wa Agosti Nilipata ‟Enlightenment” kwa njia ya fadhila na Neema ya Uongozi wa Kiroho. Nilianza kuwa na udadisi wa kutafuta Ukweli kuhusu asili yangu na maumbile nikiwa na umri wa miaka 7. Nilipokuwa na umri wa miaka 21 nilipata Neema ‟Grace” na kuanzishwa ‟Initiated” kwenye Mwanga na Sauti ya Kiroho.   Mabadiliko makubwa katika… Read more →

Ushuhuda

  Wakati mimi nilipokaa kwa ajili ya ‟Initiation” yangu nilikuwa na matarajio kidogo sana. Ingawa nilikuwa na heshima kwa watu ambao walinifundishwa na kuniongoza nilihisi kuwa, kutokana na bidii yao, wangekuwa na uwezekano wa ‟kutia chumvi” kidogo.   Nilikuwa nimekosea kabisa! Hakuna kitu ambacho kingeweza kunitayarisha kwa kile kilichotokea wakati mimi “nilipoguswa”.   Nilirushwa na kuchukuliwa na kupita kwenye ngazi… Read more →