Nick Howell

Sababu ya Kuwepo kwako

  Tumeandika juu kwenye Tovuti ya Nyumbani, ‟Fanya Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho “Enlightenment” kuwa Lengo lako: ndio Sababu ya Kuwepo kwako.” Tunahisi taarifa hii inastahili ufafanuzi. Kufikia Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho ni wazi kuwa ni tukio la nadra na kwa hivyo inapendekeza kuwa idadi kubwa ya watu hushindwa kutimiza sababu ya wao kuwa kwenye mwili. Watu wengi hawaonyeshi… Read more →

Walimu ambao ni ‟Enlightened”

  Tunafuraha kutangaza kwamba idadi ya Walimu ambao wana Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho ‟Enlightened” inakaribia mia mbili. Uongozi wa Kiroho walitabiri kuwa Kundi letu linapaswa kufikia 75,000 katika kipindi cha miaka michache ijayo. Ili kuwachukua watu hawa pamoja kwenye Njia ya Kiroho kwa muda mfupi hivi Wao wametupatia idadi kubwa ya Walimu na Watahajudi ambao wanaweza kupitisha Cheche za… Read more →

Nini Kinafuatia Baadaye!

  Ni jambo la kawaida kuuliza maswali kama vile: Nitapata faida gani kwa Kutahajudi, Nitaona nini, Nitasikia nini. Hatutaki kuwapa dhana nyingi sana na mawazo kabla ya Kuanzishiwa. Tunataka wewe ugundue mambo mwenyewe. Pia tunatambua kuwa kila Mtahajudi ni tofauti na yeye binafsi atagundua kile alicho na haja ya kugundua. Ni kama kozi ambayo imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya mwanafunzi… Read more →

Ushuhuda (M.T.)

  ‟Initiation” yangu ilikuwa mnamo tarehe 10 Septemba, 2016. Kabla ya kutahajudi kwenye Mwanga na Sauti nilikuwa na muda wa kutosha bila kutahajudi hivyo mwanzoni ilikuwa kidogo vigumu kwangu kuwa makini na kutulia. Lakini wakati huo ambapo mimi nilikuwa naenda kutambulishwa na kuanzishwa kwenye Mwanga, hatimaye niliona kwamba naweza kutulia kwa makini na ku‟concentrate” kwa msaada wa kurudia Mantra yangu.… Read more →

Ushuhuda (l.K.)

  Nikifikiria juu ya maisha yangu …..Nilianza kuwa na wito wa ndani nikiwa na umri wa miaka 7, wakati, nilipojikuta najiangalia kwenye kioo, swali likanijia kwa nguvu MIMI NI NANI? na kusababisha woga kwangu. Na hapo mara moja nikakimbia toka kwenye kioo!   Kama mtoto Nilihisi ile hofu ya fumbo, hata hivyo sikuweza kujiamini na kumuuliza mtu yeyote maana ya… Read more →

Kasi ya Maendeleo

  Kwa vile kuna Njia nyingi za kiroho zilizopo kwa Mtafutaji hasa, kuchagua mojawapo itakayoongoza kwenye Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho wa Kweli inaweza kuwa kazi ngumu. Hii haisaidiwi hasa kwa ajili ya upungufu ya muda na eneo la Kijiografia. Kwa hiyo inabidi kuwa waangalifu, kubagua na ujasiri. Ni muhimu kwamba tunasoma, kwa makini, maandiko ya Njia na kuuliza maswali… Read more →

Ushuhuda (Y.F.)

  Hadithi yangu inaweza kujaza vitabu kadhaa kuwaambia uzoefu wa maisha ya binadamu mdogo mwenye mipaka kama mtu mwingine yeyote. Ningesema maisha yangu hayakuwa rahisi, kama nikiongelea changamoto basi nilikuwa nazo kadhaa. Mara zote nimekuwa na nia kubwa ya Upendo, Ukweli na Uadilifu na nilitafuta haya yote katika sehemu nyingi ambazo si sahihi mpaka mahali pekee palipobakia kutafuta ilikuwa ndani… Read more →

Ushuhuda(O & C)

  Sisi ni (O) na (C), tumekuwa Initiated kwenye tahajudi ya Mwanga na Sauti na tunataka kuwaeleza kuhusu uzoefu tulioupata leo. Baada ya siku mbili za kutahajudi na baada ya kutembea porini tuliamua kukaa na kutahajudi, na baada ya kutahajudi tumehisi Upendo mkubwa kwenye mioyo yetu na tuliyeyuka pamoja na kumkumbatiana, tangu wakati huo mzunguko wa ‟vibration” zetu zimeongezeka kuwa… Read more →

Watahajudi Maalum

  Tunaambiwa na Uongozi wa Kiroho kwamba Nishati mpya ya ‟WimbiMwanga” (Lightwave) imeletwa na imeachiliwa kwenye Sayari yetu. Madhumuni yake ni kuruhusu idadi kubwa ya watu duniani kote wapate Kuanzishwa kwenye Mwanga na Sauti, baadhi yao watakuwa ‟Enlightened”. Hata hivyo kuna, sababu nyingine, ambayo inahusu kufikia kundi kubwa la Watahajudi 75,000 ambalo litakuwa na uwezo wa kubadilisha Ufahamu wa Sayari.… Read more →

Ushuhuda (C.B.)

  Awali nilikuwa nasita kuandika ushuhuda; hakuna mchanganyiko wowote ule wa maneno yoyote ambayo yanaweza kuelezea maana ya Enlightenment, sio wakati tu mimi nilipopata Enlightenment lakini hata sasa miezi miwili baadaye. Mimi bado kwa kiasi fulani ninasita, kwa hivyo tafadhali, acha niandike Msukumo badala yake.   Miaka mingi iliyopita wakati ndio kwanza nilikuwa naanza safari yangu ya kutahajudi, Adept alichukua… Read more →